CITIZEN TV’S KANZE DENA GUSHES OVER HER SON THAT LOOKS EXACTLY LIKE HER AS HE TURNS A YEAR OLDER!!! HE IS NOW 11 YEARS OLD! AMAZING INDEED… (PHOTOS)

‘’Yaani siamini… Its 11yrs…naona Kama Juzi mwanangu. Twapigana ..twacheka.twazungumza….ujana ndo mwanzo wabisha hodi!! Nakuvunjia kidole….

 

Faraja ya moyo Wangu. Happy Birthday Amani Nasikitika siwezi kuwa nawe tusherehekee…kazi kazi Kazi!! (Mama got to bring the bacon) #feelingblessed #penzilamamanamwana’’Kanze wrote.

 

Loading...

Advertisement